1 min read
07 Jan
07Jan

Mchezaji wa kike raia wa Africa kusini Bambanani Mbane amemuoa rafiki yake wa kike aliyekua akijihusisha nae na mapenzi ya jinsia moja kwa muda wa miezi mitatu (3)


Imeripotiwa wachezaji watano (5) wa timu ya wanawake ya Africa kusini wameoa wanawake wenzao
Refiloe Jane, 💍Tembi Kgatlana,💍Bambanani Mbane 💍
Wote wako kwenye ndoa hivi sasa.


Mapenzi ya jinsia moja ni jambo linalokemewa sana katika bara la Africa kwani ni kinyume na maadili ya kiafrica pamoja na vitabu vya kiimani vitakatifu vya Biblia na Quran

Comments
* The email will not be published on the website.
I BUILT MY SITE FOR FREE USING